NYOKA AINA YA CHATU
AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU
JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA
Nyoka
aina ya chatu aliyetolewa nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu jijini
Arusha Joseph Magesse akivutwa na wananchi kuelekea kwenye kanisa
katoliki la karsamatiki eneo la Sakina jijini Arusha ambapo aliuawa kwa
kucharangwa na shoka na wananchi wenye hasina na iman
No comments:
Post a Comment